Ninaona vipande vya video vikionesha kada mmoja wa CHADEMA amesulubiwa hadi kukimbizwa hospitali.
Taarifa za kuaminika ni kwamba amepigwa na mlinzi wa CHADEMA ambaye alifanikiwa kuvitoroka vyombo vya ulinzi vilivyokuwa eneo la tukio.
Kitendo hicho kimeonesha jinsi viongozi waliopo wanavyoongozwa na mihemko na kwamba wana uchu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hadi sasa sijaona tamko la kiongozi yeyote wa CHADEMA kukemea kitendo hicho ikiwa huenda ikawa ni maelekezo ya viongozi