Kipigo kwa kada wa CHADEMA ni ishara mbaya kwa cham hicho

Kipigo kwa kada wa CHADEMA ni ishara mbaya kwa cham hicho

Ninaona vipande vya video vikionesha kada mmoja wa CHADEMA amesulubiwa hadi kukimbizwa hospitali.
Taarifa za kuaminika ni kwamba amepigwa na mlinzi wa CHADEMA ambaye alifanikiwa kuvtoroka vyombo vya ulinzi vilivyokuwa eneo la tukio.

Kitendo hicho kimeonesha jinsi viongozi waliopo wanavyoongozwa na mihemko na kwamba wana uchu

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hadi sasa sijaona tamko la kiongozi yeyote wa CHADEMA kukemea kitendo hicho ikiwa huenda ikawa ni maelekezo ya viongozi
Mwanamke unajiunga na chama Cha wavuta Bangi unategemea nini?

Hao watu wa Tarime inategemea ni wazima? 🤣🤣👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DHrN-2ICtb6/?igsh=cGZhY28yMGIya210
 
Chadema wafundishwe 4R na zianze kwa Tundu na John kisha watuwao!
Napia wasisitizwe kusoma chadema kinaviongozi wenyeelimu ndogo sn!! Nahisi pia bangi kwako Dili maana ukichek akili za Lema,Heche,lissu,sugu,mbowe,slaa,msigwa,mdee etc unaonaje kulikuwa na msimu fulani wabangi waliupitia!!
 
Back
Top Bottom