Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha kisiasa, lakini nadhani umeongea kishabiki zaidi hapa. Vipi, Mheshimiwa Ndugai alipomflatisha kwa fimbo kada mwenzake (mpinzani wake) wakati wa primaries za CCM ulikuwa umeshazaliwa?Ninaona vipande vya video vikionesha kada mmoja wa chadema amesulubiwa hadi kukimbizwa hospitali.
Taarifa za kuaminika ni kwamba amepigwa na mlinzi wa chadema ambaye alifanikiwa kuvtoroka vyombo vya ulinzi vilivyokuwa eneo la tukio.
Kitendo hicho kimeonesha jinsi viongozi waliopo wanavyoongozwa na mihemko na kwamba wana uchu na damu ya watanzania.
Hadi sasa sijaona tamko la kiongozi yeyote wa chadema kukemea kitendo hicho ikiwa huenda ikawa ni maelekezo ya viongozi
Hivi ni kwanini Babu Wassira aliitwa "Tyson"?Chama cha wahuni chini ya dikteta uchwara ukisema utafanya uchaguzi unatekwa na kusulubiwa hiyo ndio afadhali zaidi unapotezwa!
Kuna albino kaguswa mkuu, au unaongelea mambo yao ya uchawi(ndagu) wa kutafutia vyeo?Hilo umesema wewe, Wassira alipiga, Ndugai alipiga , infact CCM Hadi Leo mnaendelea kupiga .
Tunawaonya UHAI wa Ndugu zetu Albino UHESHIMIWE, NI HAKI YA ALBINO KUISHI.
Kiukweli haya mambo hayaleti afya kwa chama aliyepigwa ni mwanamke, Heche anaanza kumuaribia LissuMimi sio mfuasi wa chama chochote cha kisiasa, lakini nadhani umeongea kishabiki zaidi hapa. Vipi, Mheshimiwa Ndugai alipomflatisha kwa fimbo kada mwenzake (mpinzani wake) wakati wa primaries za CCM ulikuwa umeshazaliwa
Baada ya zile futuhi mlizotengeneza za vijana wa Mbeya na Rukwa eti hawataki No Reform No Election kufeli sasaivi mmeamia kutengeneza matukio ya wanachadema kupigwa.
Hizo propaganda zenu mfu zimeshashtukiwa hata mtunge maigizo gani wananchi wameshaamua No Reform No Election.
Mwaka huu maigizo ya ccm ndani chadema yataongezeka lakini hayata zuwia mafuriko ya no reform no electionsNinaona vipande vya video vikionesha kada mmoja wa CHADEMA amesulubiwa hadi kukimbizwa hospitali.
Taarifa za kuaminika ni kwamba amepigwa na mlinzi wa CHADEMA ambaye alifanikiwa kuvtoroka vyombo vya ulinzi vilivyokuwa eneo la tukio.
Kitendo hicho kimeonesha jinsi viongozi waliopo wanavyoongozwa na mihemko na kwamba wana uchu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hadi sasa sijaona tamko la kiongozi yeyote wa CHADEMA kukemea kitendo hicho ikiwa huenda ikawa ni maelekezo ya viongozi
Makonda alichukuliwa hatua gani na chama chake alipomchapa makofi Jaji Warioba?Ninaona vipande vya video vikionesha kada mmoja wa CHADEMA amesulubiwa hadi kukimbizwa hospitali.
Taarifa za kuaminika ni kwamba amepigwa na mlinzi wa CHADEMA ambaye alifanikiwa kuvtoroka vyombo vya ulinzi vilivyokuwa eneo la tukio.
Kitendo hicho kimeonesha jinsi viongozi waliopo wanavyoongozwa na mihemko na kwamba wana uchu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hadi sasa sijaona tamko la kiongozi yeyote wa CHADEMA kukemea kitendo hicho ikiwa huenda ikawa ni maelekezo ya viongozi
Mtu mzima kujificha kwenye shamba la karanga ni aibu.Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha kisiasa, lakini nadhani umeongea kishabiki zaidi hapa. Vipi, Mheshimiwa Ndugai alipomflatisha kwa fimbo kada mwenzake (mpinzani wake) wakati wa primaries za CCM ulikuwa umeshazaliwa?
Ndungai alimpiga mwanachama wetu(CCM) mwaka 2015.Chama cha wahuni chini ya dikteta uchwara ukisema utafanya uchaguzi unatekwa na kusulubiwa hiyo ndio afadhali zaidi unapotezwa!
Mmh ngoja wajeInasemekana Kuna Mwenyekiti wa CCM enzi hizo tena akiwa Rais alipigwa na Mke wake(Ambae ni mwanachama wa CCM) akavunjwa mguu na Chama hakikuyumba.