Kipigo kwa kada wa CHADEMA ni ishara mbaya kwa cham hicho

Mwanamke unajiunga na chama Cha wavuta Bangi unategemea nini?

Hao watu wa Tarime inategemea ni wazima? 🤣🤣👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DHrN-2ICtb6/?igsh=cGZhY28yMGIya210
 
Chadema wafundishwe 4R na zianze kwa Tundu na John kisha watuwao!
Napia wasisitizwe kusoma chadema kinaviongozi wenyeelimu ndogo sn!! Nahisi pia bangi kwako Dili maana ukichek akili za Lema,Heche,lissu,sugu,mbowe,slaa,msigwa,mdee etc unaonaje kulikuwa na msimu fulani wabangi waliupitia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…