Kipimo cha akili: Jibu chemsha bongo hii ndogo kujidhihirisha wewe ni great thinker.

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Dah! Kweli akili za Vijana wa Kibongo zimeshatekwa na watu wasiojulikana! Wenzetu huwa wanatumia mitandao ya kijamii kuleta changamoto za kujenga nchi! Humo humo burudani lakini kuna kitu mna-gain, mfano ungeleta game juu ya namna ya kuwatambua WASIOJULIKANA, namna ya kujilinda pale unapokuwa mateka, namna ya kujiongezea kipato ili ujikimu wewe na familia yako katika mazingira ambayo serikali imeshindwa kukusaidia, namna ya kuwa Mzalendo kwa Nchi yako, nk.
 
Sorry kumbe nilitakiwa nimalizie nilipoanzia[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Sorry kumbe nilitakiwa nimalizie nilipoanzia[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Kiongozi kwanza hongera sana, hapo kwenye swali la hizo nukta 12 itakua tu umefanikiwa kuunganisha hizo nukta kwa mistari mitano lakini kuna sharti la pili, lazima umalizie mstari wako pale ulipoanzia mstari wa mwanzo. Jaribu tena.
 
Ngoja nijatibu tena kuumiza akili
 
Hongera sana mkuu, hii umepatia vizuri tu
[emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…