Kipimo cha akili ndogo za Wabongo ni akili kubwa ya Dkt. Bashiru

Kipimo cha akili ndogo za Wabongo ni akili kubwa ya Dkt. Bashiru

Nchi hii uzwazwa hautaisha tangu lini mawazo na maoni ikawa tusi kwani hao viongozi ni machifu au mitume. Opofu kila Kona Maoni hayapigwi rungu jibuni hoja Kwa hoja.

Very absurd and huge shame for the Country.

Watu wanatembea na akili za ukipepeo kwenye vichwa vyao.

Anzisheni uraia pacha haraka sana mpate hybrids.
Ajabu wanaoyafanya haya ni hawa hawa waliomwita Magufuli ni dicteta na hataki kukosolewa.
Wanakula asali hawataki Mama yetu wa kambo aguswe.
 
Angalia hoja ama maudhui sio mtu, tatizo wabongo vichwa vibovu, piganeni na maudhui. Mfufueni Magufuli basi kama hasira zenu ni kaburi la chato. Tuache upumbavu ili taifa liende mbele.
Elewa ulichoambiwa,
 
wewe ndiye una akili finyu sana. Read between lines! Kila mmoja anasema Bashiru yuko sahihi by 1,000,000% lakini ni mnafiki! Yeye alimtukuza Magufuli kuliko hata Mungu wa Mbinguni. Leo anasema wakulima wasiwasifu watawala. Nadhani umeelewa watu wanachopinga. Bashiru ni mnafiki , katili, roho mbaya, muuaji, mtekaji al all filths! leo eti anawaonea hurma wakulima.
Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!by Shangazi Maria sarungi (Hiki ndicho watu wanachosema)
Hapo ndipo tunasema wabongo hamna akili kichwani.Mmeshachoka akili.Hata concept ndogo zinawashinda.Ukikutwa unaiba ,lazima liwe kosa ,lakin ukisema kuwa umeshikwa na mwizi sasa sio kosa huo ni ujinga na upumbavu.
 
Kigwangala ,Kibajaji,Musukuma, n.k. Hata ukiwangalia machonu HAWANA chembe ya utu Wala uadilifu. N
Uliowasema wako Kama Bashiru. As long as alihudumu katika utawala dhalimu wa magufuli nakutenda atrocities zote hizo, basi he has lost his credibility to say anything in relation to human /wakulima rights!
Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!
 
Alilolisema Bashiru lingekuwa na mashiko na mantiki endapo lingetoka kwa mtu mwingine yeyote tofauti na yeye.
Anachokihubiri Bashiru sasa hivi kwa kupinga ni kile kile ambacho alikuwa akikifanya enzi alipokuwa na mashiko kwenye Chama na nchi.
Hivyo kama kuna kipimo chochote katika hili basi ni unafiki wa wanasiasa katika kutetea maslahi ya matumbo yao.


Sasa wewe ulitaka katika ule mkutano asemeje??, ulitaka aseme; mama anaupiga" mwingi ndipo asionekane mnafiki ??
 
Sasa wewe ulitaka katika ule mkutano asemeje??, ulitaka aseme; mama anaupiga" mwingi ndipo asionekane mnafiki ??
umetumia haki yako ya msingi kujielezea kwa uhuru tena kwa kutumia bundle lako, naanzaje kukupinga sasa? upo sahihi kwa ukomo wa fikra zako.
 
Huwezi kuwa akili kubwa na ukawa Ccm.

Degree na Intelligent ni vitu viwili tofauti kabisa.

Such a generalization ndo inakufanya kutokuwa na akili. Bila akili kubwa unqdhani wangekuwa madarakani mpaka leo? Akili kubwa ni pamoja na kusoma mazingira na kuyatumia. Wewe usiyeelewa ndo unaonyesha huna akili hiyo kubwa na ndo mana unapata hata nguvu ya kufanya fallacy ya generalization.
 
Ama kweli mbwa habweki akiwa na mnofu mdomoni!... Hivi katika nchii hii Kuna Rais alikua akisifiwa kwa mbwembwe Kama Magufuli? Hadi Kuna wapuuz walidiriki kusema vitu vya kukufuru!.. " MUNGU AMSHUKURU MAGUFULI" Huyu alikua wapi wakati huo ,asijitokeze kukemea na kukumbusha kua ,,Magufuli anatenda wajibu wake!.. Hizi sifa na upuuz wa kuzndua zindua kila kitu uMeanza kipindi Cha Magufuli,, ambacho yeye alikua Katibu Mkuu kiongozi na Katibu wa CHAMA,,, Leo hiii kusema mama anaupiga mwingi ndo asikike akibweka!... Kisa hatembei Tena na msafara wa ma vietee?.. Kwa aina hii ya viongozi wachumia tumbooo NCHI IKIFIKIA LEVEL ZA QATAR MNIITE MBWA NIPO PALEE"
 
Wewe ndiye una akili finyu sana. Read between lines! Kila mmoja anasema Bashiru yuko sahihi by 1,000,000% lakini ni mnafiki!

Yeye alimtukuza Magufuli kuliko hata Mungu wa Mbinguni. Leo anasema wakulima wasiwasifu watawala. Nadhani umeelewa watu wanachopinga. Bashiru ni mnafiki , katili, roho mbaya, muuaji, mtekaji al all filths! leo eti anawaonea hurma wakulima.

Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!by Shangazi Maria sarungi (Hiki ndicho watu wanachosema)
Mkuu Kama hatakuelewa wewe Basi,hatamwelewa MTU mwingine yeyote isipokua yeye mwenyewe
 
Bashiru ni mkubwa sana subirini 2025 ndio mtajua, mnapanic na inspirational speech na motivation Kwa wakulima, ni hamasa ya kujitambua, hivi mmeoiona risala ya wana mviwata Kwa mgeni rasmi hususani changamoto zao walizoainisha.
Huyu BASHIRU Ana ukubwa gani?.. Ama alikua na ukubwa gani?.. Mkuu ukimuona Mbuzi juu ya mti jua alipandishwa huyo,,, na akishushwa hapandi n'o Hadi apandishwe tena
 
Upinzanii wa nchii Ni mbumbu tu!.. that's why hua wanasubiri na kutegemea wagombea wanaoenguliwa kutoka CCM!.. Leo hii wamesimama na BASHIRU kidete ,,wanasahau huyu ndo Alikua miongoni walio bariki kwa maneno na vitendo,,kuvuruga uchaguzi 2020, " KUTUMIA DOLA KUBAKI MADARAKANI" ,,, walimchafua na kumsema Eddo miaka NENDA miaka Rudi afu paaap wakamvuta akawa mgombea wao!.. Bora tubaki na hili zimwi litujualo make halituli tukakwisha,,
 
Huwezi kuwa akili kubwa na ukawa Ccm.

Degree na Intelligent ni vitu viwili tofauti kabisa.
A point of interest: unaweza kutufafanulia 'degree na intelligence' ni vitu viwili tofauti?!
 
Back
Top Bottom