#COVID19 Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

Kuchezewa washeli sio jambo dogo aisee hasa kwa mwanaume rijali
 
Ukiwa unakwenda china utazoea maana kila ukienda lazima kuchungulie
 
Ikitajwa inch 2 naona kama watu hawaelewi hivi, hii ni sawa na sentimeta 5, au kwa lugha nyepesi ni karibu na urefu wa dole la kati...
 
Ni lini viongozi wetu wa kiserikali watazuru China ili kijifunza mambo mbalimbali ya kimaendeleo na kubadilishana uzoefu? Nashauri wabunge waanze kwenda China
Nimecheka sana.

Ni kqeli wachina sio mabeberu na ni rafiki zetu. Bunge letu litembelee huko kujifunza China inafanyaje kuhakikisha uchumi wake haushuki.
 
Japan imeitaka China iachane na kipimo chake chenye utata ambacho kinaitwa anal swab test. China imekuwa ikipima raia wake maradhi ya COVID kwa kutumia pamba stiki ambayo huingizwa sehemu ya haja kubwa.

 
utakapoingizwa hapo ndio utajua kati ya mwanamke na mwanaume nani anajisikia raha kwenye tendo
 
Kipimo hiki cha kichina sijui inakuwaje?

Kirusi kimeingilia puani, mdomoni au machoni lakini eti kipimo kichukuliwe kwenye sehemu ya haja kubwa..... Kuna connection hapo kweli?

Ugonjwa wa shida ya kupumua afu kipimo kinachukuliwa hukooo chini?
 
Kama tunaambiwa tuvae barakoa ili kama mtu ana korona asiambukize mwingine kwa njia ya majimaji akiongea au akipiga chafya....basi kipimo rahisi ilikuwa kuchukua sampuli ya mate tu, au mimi ndio sielewi!!!
sijui kwanini ulikuwa kwenye akili yng,
 
Wajapani wana akili sana kuna uwezekano wamegundua mchezo mchafu wa wachina, wingi wao duniani unataka kutusababishia matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…