#COVID19 Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

#COVID19 Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

Wale wafunga bidhii za China vipi, tunataka walete mrejesho( feedback) za uhakika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana wabongo wengi hununulia bidhaa huko!
Embu tumuulize Fred vunjabei,c huwa anaenda Sana China.
 
Ukienda china lazima ufumuliwe marinda !
Ukiona mtu kaenda china basi marinda fumu

Ova
 
Embu tumuulize Fred vunjabei,c huwa anaenda Sana China.
Alaa kumbe ngoja tumuulize habari huko [emoji23][emoji23] maana maneno maneno wakati kuna watu kila kukicha wapo huko!
 
Back
Top Bottom