Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa.

Sasa je, tungepima za Yesu Kristo, naamini 23 tungekuta ni za mama yake wa kumzaa, sasa je, zile 23 za upande wa pili tungekuta ni za nani? Maana lazima ziwepo, otherwise mwili physical aliokuwa nao usingeweza kutengenezeka na kuwepo.

Tutafakari.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Zingekuwa za baba yake. Au baba yake humjui
 
Kwa maelezo niliyopewa wakati nasoma mafundisho nilipokuwa mdogo, ni kwamba mtoto alishushwa kwa uwezo wa roho mtakatifu, na si kwa njia ya kawaida
 
Hivi malaika nao hawana damu? Kama wanayo je chromosomes walizipata wapi?
 
Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa.

Sasa je, tungepima za Yesu Kristo, naamini 23 tungekuta ni za mama yake wa kumzaa, sasa je, zile 23 za upande wa pili tungekuta ni za nani? Maana lazima ziwepo, otherwise mwili physical aliokuwa nao usingeweza kutengenezeka na kuwepo.

Tutafakari...
Za roho mtakatifu
 
umemaliza....
Kwa kweli, Kaimaliza kabisa hadithi hiyo ya watoto wa chekechea, maana hatujui watoto wa Adam walienda nchi za mbali kuoa/ kuolewa kwa namna ipi, ukizingatia wao ndio binadam wa kwanza...
 
Back
Top Bottom