FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwa maelezo niliyopewa wakati nasoma mafundisho nilipokuwa mdogo, ni kwamba mtoto alishushwa kwa uwezo wa roho mtakatifu, na si kwa njia ya kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Zingekuwa za baba yake. Au baba yake humjui
Hivi malaika nao hawana damu? Kama wanayo je chromosomes walizipata wapi?Kwa maelezo niliyopewa wakati nasoma mafundisho nilipokuwa mdogo, ni kwamba mtoto alishushwa kwa uwezo wa roho mtakatifu, na si kwa njia ya kawaida
DaahHivi malaika nao hawana damu? Kama wanayo je chromosomes walizipata wapi?
Swali zuri sanaaa...mana'ke wao wanamuona Yesu ndo wa ajabuVp kuhusu Adam
Za roho mtakatifuBinadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa.
Sasa je, tungepima za Yesu Kristo, naamini 23 tungekuta ni za mama yake wa kumzaa, sasa je, zile 23 za upande wa pili tungekuta ni za nani? Maana lazima ziwepo, otherwise mwili physical aliokuwa nao usingeweza kutengenezeka na kuwepo.
Tutafakari...
Ndio hapo theory ya Evolution inapopata nguvu sana kuliko nadharia za binadamu wa kwanzaVp kuhusu Adam
Baruch SpinozaHii ipo nje ya uwezo wetu wa kufikiri
Sawa na kuuliza Mungu baba yake Nani?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sawa,Za roho mtakatifu
Great rationalists of 17th century philosophyBaruch Spinoza
umemaliza....Vp kuhusu Adam
Kwa kweli, Kaimaliza kabisa hadithi hiyo ya watoto wa chekechea, maana hatujui watoto wa Adam walienda nchi za mbali kuoa/ kuolewa kwa namna ipi, ukizingatia wao ndio binadam wa kwanza...umemaliza....