Kwa dar es salaam ,hii ni kweli kabisa juzi nilitaka vunjwa kiuno sim2000 ,wakati napita dirishani kupanda daladala za kuelekea mbagala rangi3 , Ilibidi jamaa mmoja anunue maji ya 500 yenye barafu anichuwe mbavu,
Pale makumbusho ndio unaweza kaa hata masaa 4 usiku ukisubiria daladala za kuelekea maeno fulani, kamaa sii ufukara mtu unanunua hata kapasso kakupigia route ndogo ndogo. Imagine mtu unashikilia bomba la daladala kuanzia makumbusho hadi gongo la mboto sio mchezo
Huyo ni mpuuzi mwache afe na korona tutarithi hayo madukaNi kweli mkuu ,nyumba hazitembei.
Nilishangaa kuna jamaa ana maduka karibu 6 ya maana yenye worth karibu 180m lakin hana hata IST anapanda daladala bila barakoa! Kwasasa tusiwe na ile dhana ya zamani kwamba gari ni starehe,kuwa na gari ni sawa kuwa na simu etc
Hizo ndio akili za mafukara, subiria sasa hiko kipato kikue ufeKama huna kipato cha kueleweka na huna issue za maana zinazohitaji matumizi ya gari achana nalo..narudia tena achana nalo.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Chakwale
Nyumba inatembea ww? We tuulize sisi watembezi kama nyumba ina umuhimu, mimi nina nyumba mbili dar na dodoma, lakini sasa niko matimila huku songea hata sizitumii, ila niko na motokaa huku mwendo mdundo kitu cha toyota landcruiser Series 100, turbo peal white DUG 2006 nusu ya v8Nyumba ni muhimu sana kama kijana wa kisasa kumiliki mjengo ni muhimu.
serekeli} = serikaliTatizo serekali yetu mpaka sasa kuagiza gari kwa mwananchi ni anasa maana kodi utakayo kutana nao utacheka.
Tokea 2000 gari duniani kote ni kama simu na lazima mwanadamu kuwa nalo.ila kwa tanzania serekeli bado ina husda
Usiagize we chukua kwa wahindi wacheza kamali wa pale fire wanauza bei ya kutupa hata ukiwa 3milion unapata mkwaju kurudisha heshima kwa wakwe, yangu walinizia milion 43 na ni mpya kabisaTatizo serekali yetu mpaka sasa kuagiza gari kwa mwananchi ni anasa maana kodi utakayo kutana nao utacheka.
Tokea 2000 gari duniani kote ni kama simu na lazima mwanadamu kuwa nalo.ila kwa tanzania serekeli bado ina husda
serekali = serikaliTatizo serekali yetu mpaka sasa kuagiza gari kwa mwananchi ni anasa maana kodi utakayo kutana nao utacheka.
Tokea 2000 gari duniani kote ni kama simu na lazima mwanadamu kuwa nalo.ila kwa tanzania serekeli bado ina husda
serekeli} = serikali