Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

Hata kwangu nakufukuza najua utakuwa mbabaishaji tu wewe tutasumbuana kwenye kodi, ila ukiwa hata na chases haina body hata kama ya maandolina , najua wewe mpambanaji
Umetisha mkuu hata chasis yatosha 😅 😂 JF kisima cha elimu na burudani.

Aisee mie nimewaza kwa mantiki hii, mtu aweza kuanza na chaja ya simu, kisha akanunua simu baadaye, au hata akaanza kutembea na funguo za gari, gari atanunua baadaye!

Everyday is Saturday................................😎
 
Mkuu unamaanisha hiki ki complex ninachokifahamu?C₄H₂FeO₄ fumarate?
Anyway,
Mchuma ni muhimu mjini na kijijini.
Ni typing error lakini pia ni lugha ya kihasibu kwa wale wataalam wa cost accounting wamenielewa mkuu
 
Umetisha mkuu hata chasis yatosha [emoji28] [emoji23] JF kisima cha elimu na burudani.

Aisee mie nimewaza kwa mantiki hii, mtu aweza kuanza na chaja ya simu, kisha akanunua simu baadaye, au hata akaanza kutembea na funguo za gari, gari atanunua baadaye!

Everyday is Saturday................................😎
Ee baba pambana mkuu, gari ndio kila kitu mazee
 
Gari ni moja ya mahitaji muhimu sana kwa maisha ya sasa.
Ni kama kikombe cha chai asubuhi, ukitaka ku prove hilo we uguza mjwe hapo dar alafu utanipa mlejesho hapa
 
Asikudanganye mtu wala kukutia moyo, kama wewe huna gari hata kama ni mkweche unahesabika ni fukara tu hata kama una nyumba 50, tafuta gari upate amani ya moyo na heshima kwa wakwe hata kama huna hela.

Muhimu kujilinda, korona ipo na inaua fuateni miongozo ya wataalam wa afya jamani.

Kzba.
Kabla ya kununua Gari kaa chini na piga hesabu unataka kufikia wapi kwenye maisha yako? una malengo gani? na je gari itakusaidia kufikia malengo yako? kama unanunua gari kwa ajili kukwepa kupanda daladala, kujionyesha na wewe unazo, hapo umekosea na hio gari itakufanya maskini, number hazidanganyi kaa chini, piga hesabu ya kipato, gawanya kwa matumizi yako, ya maendeleo,ya kununua gari, na kulihudumia gari, ukipata jibu ndio ufanya uamuzi
 
Nyumba ni muhimu kuwa nayo ,pia gari ni lazima kumiliki kwa wakati huu inasaidia mambo mengi . Gari si anasa bali ni kitendea kazi na inarahisisha mipango mingi ya safari hasa ndani ya mji.
 
Kabla ya kununua Gari kaa chini na piga hesabu unataka kufikia wapi kwenye maisha yako? una malengo gani? na je gari itakusaidia kufikia malengo yako? kama unanunua gari kwa ajili kukwepa kupanda daladala, kujionyesha na wewe unazo, hapo umekosea na hio gari itakufanya maskini, number hazidanganyi kaa chini, piga hesabu ya kipato, gawanya kwa matumizi yako, ya maendeleo,ya kununua gari, na kulihudumia gari, ukipata jibu ndio ufanya uamuzi
Huna hela ww
 
Huu pia ni ushahidi pia wa jinsi gani elimu yetu imeshindwa kuondoa ujinga,lkn huu ni ushahidi pia wa mtu kukulia mazingira maskini inavyotuharibia ufahamu wetu,lkn zaidi huu ni ushahidi tosha kuwa vyeti ni makaratasi tu,common sense is a flower that doesn't grow in every bodies garden,
Watu walishatoka huko dogo,wewe ndo unaingia na unviiiiimba,watu walishaacha kuyaona magari na material tings kama mambo ya kuyachukulia pakuuuuubwa,
Ukikua utaacha,ni utoto unakusumbua
Usikute nina elimu kubwa kuliko ww, CpAt, MBA, unazo wewe..usikute ni tarishi tu mahakama ya kata mbesa hapa ndio maana una akili za kifukara, tafuta gari hueshimike ndugu yangu, hamna aliezikwa kwa heshima bila kuwa na gari, mfano kanumba alikuwa na collection ya mandinga lakini mama yake nyumba tumemjengea sisi na michango yetu
 
Bro usibishane na watoto,tunza energy ya kufanya yanayostahili kufanywa na watu makini
Nyumba, Shamba ni real estate Gari sio real.

Ulishaona nchi zinagombana Kisa Gari. Ika Ardhi ambayo Nyumba hujengwa.

Utajiri wa kupimwa na Gari ni utoto
Mungu mwenyewe alianza kumpa Adam na hawa makazi sio usafiri.
 
Gari itakupa heshima binafsi mjini (japokuwa inaweza kukupa umaskini pia ukijichanganya). Nyumba ni urithi wa kudumu kimaisha katika familia. Kuna namna fulani mtu anakuwa na utulivu wa ndani akiwa anaishi kwake. Na kuna namna fulani hivi ya kujisikia ufahari na kujiamini ukiwa unamiliki gari.
 
mkuu uko sahihi sana,nimewahi pata kibarua sehemu flani (vyama vya ushirika) nikajenga nyumba wala hakuna aliye ona kitu cha maana

siku nikachukua gari ya bro wangu (ilikuwa bado mpyaaaaa) aiseeh ilikuwa tabu tupu wakulima wanadai nimekuwa na hela nimewaibia sana nichunguzwe


yote haya kisa gari wakaona nishakuwa tajiri.
 
Kumbuka asset nazo zimegawanyika katika makundi mbali mbali, gari ni asset moja wapo hutaki rudi tena darasani na chuo chako cha Eagle au data star mbagala huko
 
mkuu tuelekeze vizuri tukifika hapo fire tunaingia ofisi gani au tunaulizia vipi ili kuwapata hao wahindi?
Usiagize we chukua kwa wahindi wacheza kamali wa pale fire wanauza bei ya kutupa hata ukiwa 3milion unapata mkwaju kurudisha heshima kwa wakwe, yangu walinizia milion 43 na ni mpya kabisa
 
Back
Top Bottom