Tanzania wote ni masikini, hata wasio watumishi kujua hilo angalie jinsi maduka ya nafaka yanavo fungiliwa kila kona, ndo uwezo wetu, supermarket ni mapambo hamna wanao ingia humo........bucha mpaka sa sita usiku nyama bado haijaisha wanunuzi hawapo duh.1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
Na wewe dalili ya ufukara wako ni kufuatilia maisha ya watu wengine wanavyoishi.1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
Na hata ukishamaliza mahitaji muhimu ya binadamu , hizo nyingine ni sifa za kijinga tuSisi wafanya kazi wa serikali ukimiliki nyumba na gari tumemaliza hayo maneno yenu hayatustui kamwe pumbavu zenu kula n uhakika
Mpo kwenye confort zoneSisi wafanya kazi wa serikali ukimiliki nyumba na gari tumemaliza hayo maneno yenu hayatustui kamwe pumbavu zenu kula n uhakika
Hii mada imeludiwa, ni juzi tu kuna mwana JF alifungua thread kama hii,1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
Asili yetu ya kununua na kuuza Chakula siyo kwenye masuper market, na Wala siyo ndo utajiri...asili yetu na maisha yetu ni maduka makubwa ya nafaka, magulioni...na hata magengeni...uko ndo tunakoishi...hizo habari za supermarket ni za wazungu.Tanzania wote ni masikini, hata wasio watumishi kujua hilo angalie jinsi maduka ya nafaka yanavo fungiliwa kila kona, ndo uwezo wetu, supermarket ni mapambo hamna wanao ingia humo........bucha mpaka sa sita usiku nyama bado haijaisha wanunuzi hawapo duh.
Mkuu, ina maana na wewe huwa unawachunguza kila zikifika hizo tarehe, au na wewe ni mmoja wao?1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
siwezi kukujibu maana .................Mkuu, ina maana na wewe huwa unawachunguza kila zikifika hizo tarehe, au na wewe ni mmoja wao?