sio ungewaonea huruma wasio na ajira? mimi nimejiajiri sijioni kwamba ni mjanja naona ni bahatiPole kama imekugusa. Siyo nawacheka, hapana naona huruma maana na wanaonihusu wanapitia madhira haya haya!
sio ungewaonea huruma wasio na ajira? mimi nimejiajiri sijioni kwamba ni mjanja naona ni bahatiPole kama imekugusa. Siyo nawacheka, hapana naona huruma maana na wanaonihusu wanapitia madhira haya haya!
ONE ISSUE AT A TIME!............ these are the ones we were discussing the issuesio ungewaonea huruma wasio na ajira? mimi nimejiajiri sijioni kwamba ni mjanja naona ni bahati
umesema jambo la msingi. Hivi gharama za kuvuta pea toka akaunti yako ni ngapi?Hawanaga simu Banking au nmb mkononi UTASIKIA makato makato
Watu kama wewe ndio mnaosababisha upigaji serikalini usiishe,,,nasema hivyo kwasababu wanasoma haya.1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
PRELUDE:
NIMEONA KUNA WATU WANA NEGATIVE FEELINGS/RESPONSES. MIMI SIWACHEKI WALA KUWADHIHAKI, NASIKITIKA KUWA SERIKALI INASHINDWA KUWALIPA WAFANYAKAZI AT LEAST FEDHA YA KUKIDHI MAHITAJI MUHIMU..AMENITIES OF LIFE...BASIC, VERY BASIC NEEDS.
NINA WANAONIHUSU WANAPITIA HALI HIYO, NAWAJIBIKA KUWAPA MSAADA WAFIKE MWISHO WA MWEZI....SIWACHEKI WALA KUWADHIHAKI
Furaha tele kabisa?Mkuu kuna watu wanalipwa asilimia 50% ya huo mshahara na wanaendesha maisha ya familia na furaha tele
Wakati Mbunge analamba more than 300k per day ya sitting allowance tu. Kweli life is not fairKweli lakini ndo vipato vya watu wengi kwa mwezi