Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mshikaji anakaba sana ikikatibia mwisho wa mwezi. Haaa haaaLol.
Mshikaji anakaba sana ikikatibia mwisho wa mwezi. Haaa haaaLol.
Kweli lakini ndo vipato vya watu wengi kwa mwezi500k kwa month ni ndogo sana hata kama mtu yupo single.
Mm ni mfanyakazi wa serikali pia mkuu. Acha hasira wote tupo kwenye comfort zone. Hapa nasubir kazi za UKALANI wa kura.wewe ulishaomba?Wafanyakazi wa serikali Tanzania hawazidi laki 8, nyie wengine wenye maisha mazuri msio kwenye comfort zone mko wapi??
nimecheka kama mazuri vile1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
ila ATM zinakuwa bize sana tarehe za mishahara...umasikini huu utaisha liniKama ATM zingekuwa ni kwa ajili ya waajiriwa tu zingekosa watumiaji wengi mwanzoni na katikati ya mwezi.
Sa na wewe ndo umepigaje hapo? 😅Mshikaji anakaba sana ikikatibia mwisho wa mwezi. Haaa haaa
Wewe ukiomba inatoshaMm ni mfanyakazi wa serikali pia mkuu. Acha hasira wote tupo kwenye comfort zone. Hapa nasubir kazi za UKALANI wa kura.wewe ulishaomba?
Ingekuwa hivyo watu wasingelilia ajira mda mwingine huku mtandaoni tunapenda sana kujipa matumaini ya hovyo 😅1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
Sawa mkuu. Wacha nijiandae kukimbia na mabox ya kura ili DED afurahiWewe ukiomba inatosha
purchasing power ni ndogo maana mijini wenye purchasing power ni wafayakazi wa kuajiliwa ...kama mshahara haujatoka, nani atanunua. hata wafanya biasharaTanzania wote ni masikini, hata wasio watumishi kujua hilo angalie jinsi maduka ya nafaka yanavo fungiliwa kila kona, ndo uwezo wetu, supermarket ni mapambo hamna wanao ingia humo........bucha mpaka sa sita usiku nyama bado haijaisha wanunuzi hawapo duh.
Do a simple experiment ambayo haihitaji kutumia akili nyingi, Tumia akili kidogo tu usiu tax ubongo wako sana for a simple experiment..... Nenda kwenye ATM sasa hivi kama utakuta misululu, take notes in your nootebook, then then nenda kuanzi tarehe 22 to 23, this month... njoo unipe mrejesho.Ingekuwa hivyo watu wasingelilia ajira mda mwingine huku mtandaoni tunapenda sana kujipa matumaini ya hovyo 😅
Tatizo nikiwa nakujibu huwa nina wenge. Wewe wajua sababuSa na wewe ndo umepigaje hapo? 😅
Unateseka ukiwa wapi ?1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
Usicheke, we need to change this ...... how?nimecheka kama mazuri vile
sijawahi kuteseka maishani.... nimemaliza UDSM 1980! tulitafutwa kama Lulu! vitukuu vyangu kama wewe.....ndivyo naviona kwenye hii misululunadhani hata walikuzaa walikuwa bado hawajazaliwa! (sorry)Unateseka ukiwa wapi ?
Nilishakataa kuajiriwa serikalini ni ujinga.na utumwa. Kuna rafiki yangu yupo utumwani katika ajira ya serikalini anakaribia kustaafu yupo kama mwehu anawaza maisha bila. Mshahara.1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
Hapo ndo utegemee massuprising dhidi ya unyanyasaji na udictetor....hawawezi kugomea mwajiliwa wao.purchasing power ni ndogo maana mijini wenye purchasing power ni wafayakazi wa kuajiliwa ...kama mshahara haujatoka, nani atanunua. hata wafanya biashara
Do a simple experiment ambayo haihitaji kutumia akili nyingi, Tumia akili kidogo tu usiu tax ubongo wako sana for a simple experiment..... Nenda kwenye ATM sasa hivi kama utakuta misululu, take notes in your nootebook, then then nenda kuanzi tarehe 22 to 23, this month... njoo unipe mrejesho.
Lazima iwe hivyo, na usimlaumu......maana hakuna saving unaweza kuifanya kwa mishahara hii. Mshauri akipata pensheni asijenge aweke kwenye ka biashara kokote aweze kuzalisha at least hela ya kula kwa kila siku...... najua hawezi kukosa at least 50 millions...... awekeze kwenye unperishable biasharaNilishakataa kuajiriwa serikalini ni ujinga.na utumwa. Kuna rafiki yangu yupo utumwani katika ajira ya serikalini anakaribia kustaafu yupo kama mwehu anawaza maisha bila. Mshahara.
Ukisoma political economy of capitalism na socialism ndipo utaelewa absolute impoverishment that gives mass uprising against dictators....Hapo ndo utegemee massuprising dhidi ya unyanyasaji na udictetor....hawawezi kugomea mwajiliwa wao.