Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

nimecheka kama mazuri vile
 
Ingekuwa hivyo watu wasingelilia ajira mda mwingine huku mtandaoni tunapenda sana kujipa matumaini ya hovyo 😅
 
purchasing power ni ndogo maana mijini wenye purchasing power ni wafayakazi wa kuajiliwa ...kama mshahara haujatoka, nani atanunua. hata wafanya biashara
Ingekuwa hivyo watu wasingelilia ajira mda mwingine huku mtandaoni tunapenda sana kujipa matumaini ya hovyo 😅
Do a simple experiment ambayo haihitaji kutumia akili nyingi, Tumia akili kidogo tu usiu tax ubongo wako sana for a simple experiment..... Nenda kwenye ATM sasa hivi kama utakuta misululu, take notes in your nootebook, then then nenda kuanzi tarehe 22 to 23, this month... njoo unipe mrejesho.
 
Unateseka ukiwa wapi ?
 
Unateseka ukiwa wapi ?
sijawahi kuteseka maishani.... nimemaliza UDSM 1980! tulitafutwa kama Lulu! vitukuu vyangu kama wewe.....ndivyo naviona kwenye hii misululunadhani hata walikuzaa walikuwa bado hawajazaliwa! (sorry)
 
Nilishakataa kuajiriwa serikalini ni ujinga.na utumwa. Kuna rafiki yangu yupo utumwani katika ajira ya serikalini anakaribia kustaafu yupo kama mwehu anawaza maisha bila. Mshahara.
 
Hapo ndo utegemee massuprising dhidi ya unyanyasaji na udictetor....hawawezi kugomea mwajiliwa wao.
 
Nilishakataa kuajiriwa serikalini ni ujinga.na utumwa. Kuna rafiki yangu yupo utumwani katika ajira ya serikalini anakaribia kustaafu yupo kama mwehu anawaza maisha bila. Mshahara.
Lazima iwe hivyo, na usimlaumu......maana hakuna saving unaweza kuifanya kwa mishahara hii. Mshauri akipata pensheni asijenge aweke kwenye ka biashara kokote aweze kuzalisha at least hela ya kula kwa kila siku...... najua hawezi kukosa at least 50 millions...... awekeze kwenye unperishable biashara
 
Hapo ndo utegemee massuprising dhidi ya unyanyasaji na udictetor....hawawezi kugomea mwajiliwa wao.
Ukisoma political economy of capitalism na socialism ndipo utaelewa absolute impoverishment that gives mass uprising against dictators....
 
Madhali hakuna anaekuomba kila kingi ukipatacho acha watumie chai ambacho hata hivyo hupstikana kwa mvujo wa jasho na nguvu nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…