Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

huo upembuzi wako untusaidia nini??
 
Watumishi ndio mtaji mkubwa wa CCM.

Hawatambui haki zao, na ni waoga, wanafiki na wabinafsi hawajali wale ambao hawana.

Mtu unalipwa aje mshahara laki 5 kwa mwezi yani 16k kwa siku, hii inaonesha jinsi gani hawatambui haki zao.
 
sijawahi kuteseka maishani.... nimemaliza UDSM 1980! tulitafutwa kama Lulu! vitukuu vyangu kama wewe.....ndivyo naviona kwenye hii misululunadhani hata walikuzaa walikuwa bado hawajazaliwa! (sorryha
Hata kama ungekuwa umesoma Cambridge university bado una u primitivity sana
 
Kwani mtu kuwa tajiri faida yake nini mkuu, anaishi milele ama?
 
Hata kama ungekuwa umesoma Cambridge university bado una u primitivity sana
Definitely, you are among one of them living on a hand-to-mouth salary!....... pole imekugusa, kazana jitoe kwenye kundi hilo....lima mchicha, nyanya etc etc kujiongezea kipata
 
Definitely, you are among one of them living on a hand-to-mouth salary!....... pole imekugusa, kazana jitoe kwenye kundi hilo....lima mchicha, nyanya etc etc kujiongezea kipata
Dream on
 
wengine umasikini wakujitakia, ukienda kwenye masoko vibanda vimefungwa umiomba nafasi hupati watumishi wa umma wamejimilikisha na biashara hawafanyi na kodi tra leseni wanalipa, sasa kama sio kutafuta umasikini kinguvu ni nini

frem nyingi za biashara zilizofungwa huku zikiwa na bidhaa ndani ni za watumishi au wake za watumishi, kuna frem za nguo kodi 1m kwa mwezi na unaona kabisa hii biashara hailipi, ndio kila siku kusumbua wenzie ofisini njooni mniungishe usiponunua nongwa, akiona una nguo mpya anakuja juu oh umenunua wapi mbona namie ninayo hujaja kuniungisha, shenzi kabisa
 
Na walivyo hawajui mambo ya fedha sasa wanaongezewa mishahara halafu vitu vinapanda bei makato juu yaani hela zinatoka mfuko wa kushoto zinaingia mkono wa kulia bila wao kujijua.
 
Hawanaga simu Banking au nmb mkononi UTASIKIA makato makato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…