Kipimo cha VVU cha kujipima mwenyewe

Kipimo cha VVU cha kujipima mwenyewe

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
4,411
Reaction score
6,473
Habari wanajukwaa, kwa anaefahamu, eti kipimo cha VVU ambacho unaweza kujipima mwenyewe au kumpima mwenzako nyumbani kinaitwaje? halafu bei yake ipoje? naomba mnisaidie hata kama kuna picha yake muiweke hapa
 
Kapime tu hospital hpo unajitafutia stress za kifo
 
We nenda kapime hospitali acha uoga wako,ukijipima au ukimpima mwenzio mkikutwa nao mtashauriana nini?Au mmoja akikutwa nao mmoja hana itakuwaje hapo?unaweza kutunza siri ya mwenzio na ukaendelea naye?
kama unakijua kipimo nisaidie tu
 
Ni pm mkuu nipo dar mm nitakupatia kadri unavyohitaj na elimu jins ya kujipima na vinavyohitajika wakat wa kujipima nitakupatia pesa yako tu
Aje ajitoboe sehemu siyo ulaumiwe si umpime tu?
 
Sawa akihitaj nimpime nitampina popote atapotaka kama kwake, hospital , hotelin popote
 
Sawa akihitaj nimpime nitampina popote atapotaka kama kwake, hospital , hotelin popote
Bora umpime kabla hamjafikia stage ya majibu mpe vidude vyake ajue majibu peke yake.Utamuambia ile reaction ikitokea majibu yanavyosomwa umuachie vidude vyake zile dakika za kusubiri usepe
 
Yataka moyo wewe nunua tu hizo za kawaida mtafute Dokta ikiwa mnawezana akupatie halafu umuombe Mungu ujipime mimi. Ukishajiamini tu haina shida.
 
Unapima ili iweje kwanza? assume kitu kimesoma positive dawa unayo ya kutibu? chukua hatua utajipa bp bure tu ufe kesho wakati sasa hivi afya ipo vzr mwili nyumba
 
Habari wanajukwaa, kwa anaefahamu, eti kipimo cha VVU ambacho unaweza kujipima mwenyewe au kumpima mwenzako nyumbani kinaitwaje? halafu bei yake ipoje? naomba mnisaidie hata kama kuna picha yake muiweke hapa
Vipo vya aina mbili 1. SD Bioline na 2. Unigold..... SD Bioline hutumika kama kipimo cha kwanza na kinatoa majibu ya aina tatu, hivyo ili kuthibitisha kama ni +ve wanakupima kwa Unigold.

Kuhusu bei haijulikani kwani hutolewa na MSD tu wala huwezi pata kwenye Maduka ya Madawa!
 
mbona wengine wanasema vipimo hivyo vinauzwa duka la madawa?
Vipimo vinauzwa maduka ya madawa japo ni kosa kisheria, kuviuza au kumpima mtu bila kumpa ushauri na sahaa, kupima mwenyew ni bora zaidi kuliko hosptl maana inakuwa siri yako mwenyew. Bei yake ni kati ya 3000 na elfu tano
 
Back
Top Bottom