Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama unakijua kipimo nisaidie tuWe nenda kapime hospitali acha uoga wako,ukijipima au ukimpima mwenzio mkikutwa nao mtashauriana nini?Au mmoja akikutwa nao mmoja hana itakuwaje hapo?unaweza kutunza siri ya mwenzio na ukaendelea naye?
sikijui,ila kuna dadangu ngoja nimuombe akutajie,Dada Sky pliz njoo kuna shida kidogo umsaidie huyu jamaa yangu ana mushkell kidogo na afya yake na naogopa kwenda hospitali,Mtajie kipimo kinaitwaje.Subiri anakujakama unakijua kipimo nisaidie tu
Ni pm mkuu nipo dar mm nitakupatia kadri unavyohitaj na elimu jins ya kujipima na vinavyohitajika wakat wa kujipima nitakupatia pesa yako tukama unakijua kipimo nisaidie tu
Aje ajitoboe sehemu siyo ulaumiwe si umpime tu?Ni pm mkuu nipo dar mm nitakupatia kadri unavyohitaj na elimu jins ya kujipima na vinavyohitajika wakat wa kujipima nitakupatia pesa yako tu
Bora umpime kabla hamjafikia stage ya majibu mpe vidude vyake ajue majibu peke yake.Utamuambia ile reaction ikitokea majibu yanavyosomwa umuachie vidude vyake zile dakika za kusubiri usepeSawa akihitaj nimpime nitampina popote atapotaka kama kwake, hospital , hotelin popote
Nimewahi kununua siku za nyuma sana havizidi elf 5asante mkuu, nmeuliza bei yake pia ni kiasi gani?
Vipo vya aina mbili 1. SD Bioline na 2. Unigold..... SD Bioline hutumika kama kipimo cha kwanza na kinatoa majibu ya aina tatu, hivyo ili kuthibitisha kama ni +ve wanakupima kwa Unigold.Habari wanajukwaa, kwa anaefahamu, eti kipimo cha VVU ambacho unaweza kujipima mwenyewe au kumpima mwenzako nyumbani kinaitwaje? halafu bei yake ipoje? naomba mnisaidie hata kama kuna picha yake muiweke hapa
Vipimo vinauzwa maduka ya madawa japo ni kosa kisheria, kuviuza au kumpima mtu bila kumpa ushauri na sahaa, kupima mwenyew ni bora zaidi kuliko hosptl maana inakuwa siri yako mwenyew. Bei yake ni kati ya 3000 na elfu tanombona wengine wanasema vipimo hivyo vinauzwa duka la madawa?