Kipimo cha Vyama vya Siasa kujua kama vina mvuto na vinapendwa na wananchi ni hivi hapa

Kipimo cha Vyama vya Siasa kujua kama vina mvuto na vinapendwa na wananchi ni hivi hapa

Mbona kuana sehemu huko njiani hakuna mziki lakini watu wamejaa barabarani? Au hao ni wa chadema?
 
Ili hicho kipimo kiwe fair sharti mgombea Urais was chama tawala asiwe na madaraka ya Urais.Kama akiwa na madaraka ya Urais bado ataongoza kuwa na wasikilizaji wengi.Sehemu nyingi watu huwa Wana shauku tu ya kumuona Rais akiwa na ule msafara wake.Ile treatment anayopata Magufuli ingekuwa kwa wagombea wote ipo hivyo wote wangejaza.Watu huwa wanaenda kushangaaa msafara na msururu wa magari plus vikosi vya Askari.
 
Msafara wa Magufuli ungekuwa hauna kusafisha njia una gari Mbili tu unafikiri watu wangejaa?
 
M
Mbona kuansehemu huko.njiani hakuna mziki lakini watu wamejaa barabarani? Au hao ni wa chadema?
Watu wanaenda kushangaaa msafara.King'ora kinapita dakika kadhaaa kusafisha njia kwanini watu wasijae kushangaaa?
 
Back
Top Bottom