Kipimo sahihi kwamba unapendwa na mpenzi wako au hupendwi ni pale unapokua huna kitu

Kipimo sahihi kwamba unapendwa na mpenzi wako au hupendwi ni pale unapokua huna kitu

UKIONA MWANAMKE AMEKUBALI KUISHI NA WEWE UJUE KALAZIMIKA TU, ALIWATAMANI WENYE UWEZO ZAIDI YAKO ILA HAWAKUVUTIWA NAYE KUMUOA KAONA BORA AJISITIRI TU KWAKO MAISHA YAENDE
Vipi kuhusu wale wanawake wenye uwezo wa kujihudumia wenyewe(wenye kipato) na wanaishi na mwanaume ambaye bado ni mtafutaji,tuseme na wao wanajistiri kwa huyo mwanaume??
 
Vipi kuhusu wale wanawake wenye uwezo wa kujihudumia wenyewe(wenye kipato) na wanaishi na mwanaume ambaye bado ni mtafutaji,tuseme na wao wanajistiri kwa huyo mwanaume??
Hapo kuna sababu kadhaa

Walianza kuishi pamoja jamaa alikuwa nazo mwanzoni mambo hayakwenda sawa kipato kikapungua kwa hiyo mwanamke ameamua kuvumilia kuishi naye

Mwanamke ana mshiko ila umri umeenda na hana mvuto kivile bado wa ndoto yake hajampata wa kuishi naye anaona bora amchukue hata huyo anayejitafuta maana kwao ndoa ni heshima wanadai

Au walianza pamoja maisha ya chini mwanamke akapata mafanikio kwenye mishe zake kabla ya mwanamume

NB: KATIKA HALI HIZO MWANAMKE ATAMDHARAU MWANAMUME NA KUCHAPIWA NI NJE NJE
 
Ukitaka kujua tabia za mkeo kksa pesa, aisee Hakuna rangi utaacha kuona kwake
 
nilimpata nikiwa sina maokoto,, alivyokuja maokoto yakaongezeka,, nikamuoa kabisa na sijutii kumpa chochote anachotakaa.
 
Back
Top Bottom