Aise [emoji23]UKIONA MWANAMKE AMEKUBALI KUISHI NA WEWE UJUE KALAZIMIKA TU, ALIWATAMANI WENYE UWEZO ZAIDI YAKO ILA HAWAKUVUTIWA NAYE KUMUOA KAONA BORA AJISITIRI TU KWAKO MAISHA YAENDE
Vipi kuhusu wale wanawake wenye uwezo wa kujihudumia wenyewe(wenye kipato) na wanaishi na mwanaume ambaye bado ni mtafutaji,tuseme na wao wanajistiri kwa huyo mwanaume??UKIONA MWANAMKE AMEKUBALI KUISHI NA WEWE UJUE KALAZIMIKA TU, ALIWATAMANI WENYE UWEZO ZAIDI YAKO ILA HAWAKUVUTIWA NAYE KUMUOA KAONA BORA AJISITIRI TU KWAKO MAISHA YAENDE
Hapo kuna sababu kadhaaVipi kuhusu wale wanawake wenye uwezo wa kujihudumia wenyewe(wenye kipato) na wanaishi na mwanaume ambaye bado ni mtafutaji,tuseme na wao wanajistiri kwa huyo mwanaume??
Hiyo inachosha🤮🚮😂
Ina chosha nini Tena😂🤣🤣Hiyo inachosha🤮🚮😂
Ina chosha nini Tena😂🤣🤣