Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,911 Reaction score 28,469 Jul 18, 2025 #1 I salute you kinsmen. Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu. Yanga wanabebwa GSM anaharibu ligi Udhamini wa team nane Mangungu atoke Tshabalala msaliti Sasa nataka mjue simba imejaa uozo mkubwa sana. Na inaanzia kwa Mo mwenyewe tajiri tapeli tapeli . Za chini ya kapeti ni kuwa mudi anaidai team pesa mpaka za juice alizowahi kutoa mpaka za ndala. Hakunaga cha bure wanasimba either mkagawane majukumu kina Lupweko mkapige part time yaani deiwaka kiwandani kwa mudi mpunguze deni lenu wanasimba . Namuonea huruma mzee mangungu sana kwanini simba ikifanya vibaya apewe lawama yeye na ikifanya vizuri anapewa sifa mudi? Sasa mnatakiwa mjue kuwa adui yenu mkubwa ni Mudi sio mzee ngungu . Kama hamtaki basi furahini kama kawaida yenu kipindi hiki cha usajili ila jueni yanga bingwa mpaka 2090
I salute you kinsmen. Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu. Yanga wanabebwa GSM anaharibu ligi Udhamini wa team nane Mangungu atoke Tshabalala msaliti Sasa nataka mjue simba imejaa uozo mkubwa sana. Na inaanzia kwa Mo mwenyewe tajiri tapeli tapeli . Za chini ya kapeti ni kuwa mudi anaidai team pesa mpaka za juice alizowahi kutoa mpaka za ndala. Hakunaga cha bure wanasimba either mkagawane majukumu kina Lupweko mkapige part time yaani deiwaka kiwandani kwa mudi mpunguze deni lenu wanasimba . Namuonea huruma mzee mangungu sana kwanini simba ikifanya vibaya apewe lawama yeye na ikifanya vizuri anapewa sifa mudi? Sasa mnatakiwa mjue kuwa adui yenu mkubwa ni Mudi sio mzee ngungu . Kama hamtaki basi furahini kama kawaida yenu kipindi hiki cha usajili ila jueni yanga bingwa mpaka 2090
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,911 Reaction score 28,469 Jul 18, 2025 Thread starter #2 Za chini chini ni kuwa tajiri kagoma kutoa pesa mpaka billion 64 zake zijumlishwe kama deni kwanza