Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm.
Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na amepangisha wazungu ( pale karibu na kituo Cha polisi jirani na mother of mercy schools).
Sabaha katoboa watu macho na masikio n kudhululumu Mali za mabank na watu binafsi.
Pesa na plea bargain zimetoroshwa china.
Ila jpm alichokiweza ni kuwafanya watu wamuogope ndo mana ilionekana kwa laymen kwamba ni mwamba.