Kipindi cha Hayati Magufuli ufisadi ulikuwa wa kutisha ila bahati yake tu alizima Vyombo vya Habari kumulika Ufisadi huo

Idd Amin historia yake imepotoshwa ni sawa na historia ya museven itakavyopotoshwa mbeleni. Kosa la Idd Amin ni kumchokoza Nyerere . VIVA JPM
Nduli yeyote lazima akumbukwe kwa madhila aliyofanya. Mfano Odd amini na adofu Hitler Bado wanakumbukwa mpaka Leo kuliko hata rais aliyeko madarakani
 
Idd Amin historia yake imepotoshwa ni sawa na historia ya museven itakavyopotoshwa mbeleni. Kosa la Idd Amin ni kumchokoza Nyerere . VIVA JPM
Mseven na Amin wote ni madictator na museven Sasa ameona afiche udhaifu wake kwenye ushoga akidhani jamii angalau itamfuralia. Very trivial issues.
 
Yeye mwenyewe alikuwa mpigaji
 
Pole mkuu. Bravo JPM yaani upo kaburini ila bado unasikika duniani sasa akina londo ndo wameondoka wiki tu hakuna cha kujadiliwa. Legacy inaishi
Mseven na Amin wote ni madictator na museven Sasa ameona afiche udhaifu wake kwenye ushoga akidhani jamii angalau itamfuralia. Very trivial issues.
 
Ungetulia hata uandike vizuri , kuna typing error nyingi sana kwenye mada yako, inapoteza uhalisia wa hiko unachosema.
 
Pole mkuu. Bravo JPM yaani upo kaburini ila bado unasikika duniani sasa akina londo ndo wameondoka wiki tu hakuna cha kujadiliwa. Legacy inaishi
Ukiona mtu anajadiliwa sana tena kwa ubaya wake hiyo siyo sifa Bali ni kuweka Msingi wa kitofanya makosa tena mbeleni kuwa na rais wa hovyo kama yule. Ukiona kiongozi yeyote anasifiwa tu na watu low brains ambao hawajui chochote ujue Kuna shida sana. Ndo mana Nyerere anapenda na wasomi n wanamjadili sana kupitia kigoda Cha mwl Nyerere udsm lakini jpm hawezi jadiliwa never
 
Viva JPM
 
Mseven na Amin wote ni madictator na museven Sasa ameona afiche udhaifu wake kwenye ushoga akidhani jamii angalau itamfuralia. Very trivial issues.
Hivi ile trion 1.5 aliipelekaga wapi yule mzee fisadi no 1 wa kalne ya 21[emoji848]
Kweli kuna watu hawana huruma duniani
Mix kumtoa CAG kwa kuibua uozo alioufanya[emoji24][emoji24]
 
Huna akili
 
Huo ndio ukweli mchungu. Wewe unakaza fuvu humu kumtetea Magufuli wakati alijipigia pesa na watu wake wa karibu. Sina takwimu kamili lakini nafikiri ule wizi ulifunja rekodi.

Ogopa sana mtu anayezuia watu kuongea, anaficha uozo. Hata maofisini ukiona boss anakuwa mkali na kuficha ficha vitu jua huyo mtu ni jizi
 
Kaichukueni kule zenji mliposamehe za tanesco
Hivi ile trion 1.5 aliipelekaga wapi yule mzee fisadi no 1 wa kalne ya 21[emoji848]
Kweli kuna watu hawana huruma duniani
Mix kumtoa CAG kwa kuibua uozo alioufanya[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…