Kipindi cha Hello Mr. Right

Kipindi cha Hello Mr. Right

Sema naona ni kama mademu flani walioshindikana mtaani hao.demu mzuri huwezi kwenda kutafuta mwanaume mle kwenye TV show,hata wanaume wenyewe ni wale ambao hawana issue za maana mjini wapo wapo tu.
 
Sema naona ni kama mademu flani walioshindikana mtaani hao.demu mzuri huwezi kwenda kutafuta mwanaume mle kwenye TV show,hata wanaume wenyewe ni wale ambao hawana issue za maana mjini wapo wapo tu.

Mkuu kama alivyosema ROBERT juu huko ,Pale ni sanaa na wasanii ,ni maigizo ,its all about entertainment then biashara watu wanatengeneza Pesa.
 
Sio kweli wanalipwa yaani ni kama maigizo flani na kila kitu kinakuwa kishapangwa
 
Nimekosa nini katika hii dunia?
Watoto wa watu kutwa wanalilia nafasi leo hii nikatafute mke kwa tv kweli?
Huo utakuwa uzwazwa[emoji1787]
Wale washkaji wanaokujaga pale aisee ni watu wa ajabu ajabu sana hadi unaelewa kwann wanawake hawa waelewi. Mara walie mara waseme mambo ya ajabu.

Kuna m'moja alikuja anasema hajawahi ruka na demu ni bikra kwa miaka yote aliyoishi sasa hapo ndipo nikaona huu ni mtihani tena mkubwa.
 
Hao ni wahuni wahuni navwauza sura tu mkuu.
Huwezi kuoa mwanamke kwa kumtazama tu.
Kuoa ni taasisi inayohitaji mchakato mrefu sana tu.
Kumbuka unajiletea mikosi au baraka kwako so inahitaji utulivu na muda
 
Unapewa kapu tupu bila kujua background yake in short ni mapenzi ya tamaa za kingono sio mapenzi halisi...

Fuatilia waliotangulia kabla basya hao watakupa picha

Hakuna mapenzi hapo ni ngono ngono ngono na tamaa za kimwili wakishagongana kila mtu akaonja radha ya mwenzake anapita njia yake

Cc: bongo nyoso inamankusweke
Unataka kujua background ya mschana utaishia kulia tu. Watoto wa kike huwa wanasulubiwa sana hadi afikie umwoe wewe
 
Back
Top Bottom