Kipindi cha Jahazi kimeharibika wakipe jina lingine

Kipindi cha Jahazi kimeharibika wakipe jina lingine

Mzuka,
Nasikiliza Jahazi mda huu lakini sijui hawa jamaa na kipindi chao wanatangaza nini,
Mchomvu kweli ni changamoto vitu anavyoongea hadi wenzake wanapata shida.
Pale wamtoe 12 wamuweke Musa Hussein, nafasi ya Adam mabangi acheze Kipanya muone chombo kitakavyosonga
 
Back
Top Bottom