MAKANGEMBUZI JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 2,670 Reaction score 7,655 May 15, 2024 #21 Kitombise said: huyo anayemsemea bwabwa ni kumi na mbili au ni mawenge yangu tu? Click to expand... Mkuu watu wanafata mkumbo tu Bdozen ndio anakshfa hiyo ya ushogs nashangaa wanamchanganya adam mchomvu
Kitombise said: huyo anayemsemea bwabwa ni kumi na mbili au ni mawenge yangu tu? Click to expand... Mkuu watu wanafata mkumbo tu Bdozen ndio anakshfa hiyo ya ushogs nashangaa wanamchanganya adam mchomvu
Mcheza Viduku JF-Expert Member Joined Jun 24, 2020 Posts 1,111 Reaction score 2,754 May 15, 2024 #22 Smith Rowe said: Mzuka, Nasikiliza Jahazi mda huu lakini sijui hawa jamaa na kipindi chao wanatangaza nini, Mchomvu kweli ni changamoto vitu anavyoongea hadi wenzake wanapata shida. Click to expand... Pale wamtoe 12 wamuweke Musa Hussein, nafasi ya Adam mabangi acheze Kipanya muone chombo kitakavyosonga
Smith Rowe said: Mzuka, Nasikiliza Jahazi mda huu lakini sijui hawa jamaa na kipindi chao wanatangaza nini, Mchomvu kweli ni changamoto vitu anavyoongea hadi wenzake wanapata shida. Click to expand... Pale wamtoe 12 wamuweke Musa Hussein, nafasi ya Adam mabangi acheze Kipanya muone chombo kitakavyosonga