Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,207
Waungwana wa huku naamini mambo mengi sana mjini kwetu Dsm mna ufahamu nayo!
Nilikuwa na shabiki sana wa Salama jabir na kilichokuwa kipindi cha Mkasi pale Eatv, sasa katika hizi siku za karibuni naona matangazo ya kitu ninachodhani ni dada kuja na kipindi kipya kiitwacho Ngazi kwa ngazi palepale Eatv kila alhamis.
Wajuvi mnieleweshe, inamaana MKASI ndio ushavunjika tena! Na vipi hiki kipindi kipya bado kitakuwa cha yuleyule founder AY!?