Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B.
Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho
1. Wadada hawanauhitaji serious wa wanaume. Hivi kweli unaweza ku disqualify mwanaume eti kwa sababu anatumia pafume ambayo sio ile unayoipenda? Yani kweli mtu anakwambia et mimi napenda mwanaume anayetumia pafume fulani kwa hyo kama hutumii hiyo hapana. Serious kabisa? Eti binti anasema huyu kaka ni mzuri lkn tatizo ni kwamba anaoneka hajui kucheza mziki 🤣🤣🤣. Mwingine anasema et 'nimempenda lkn tatizo hana mke kwa hyo mimi nitakuwa mke wa kwanza wakati mimi nataka kuwa mke wa nne' serious kabisa? Mtu huyo bado unamuweka atafute mume?
2. Wanawake wengi pale ni ki uhalisia hawahitaji wanaume sema wapo tu waonekane tu maana kila mwanaume anayekuja wao hawamtaki. Yani they are there na wana disqualify kwa vigezo vidogo vidogo.
USHAURI
1. Hasa kwa Gara B na waendeshaji wa kipindi. Kuna wadada huku nje wako serious na wanataka waume kweli sasa unavyoendelea kuwaweka wale wale huku hawahitaji waume bi kuwanyima fursa wengine
2. Pawepo na muda wa mtu kushiriki ( kama kitu hiki kipo basi ni nzuri) muda huo ikipita ondoa leta mwingine naye ajaribu bahati maana wanaume tumekuwa adimu na kila siku tunapungua maana upinde unawachukua sana, sasa ukiona mtu anachezea fursa ampishe anayehitaji
3. Jifunze kidogo kwa Mr Right ya Kenya yaani wadada wako serious na wanaume ndio maana mwisho wa siku unakuta mwanaume ana option ya wanwake kama sita hvi yeye ndo anachagua.
........
NB: Vijana oeni huku kwenye ndoa tunafaidi sana