Kipindi cha mvua wanawake mtuonee huruma jamani

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Nini kimeongezeka kwenye baridi mpaka wanawake waringe?

Kumekuwa na tabia kipindi hiki cha mvua na baridi sisi wanaume kunyimwa unyumba tatizo ni nini jamani😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Akikunyima usipate tabu kamanda,usimuombe Tena,wewe acha Hela ya kula amka nenda kwenye harakati, ukirejea,hamna story,Toka Tena Rudi saa nne au tano oga kula, lala, amka nenda kibaruani,siku tatu tu, mkaushie, atakugaia na ataweka mguu mpaka dirishani🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…