Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujielewi unanyimwajeNini kimeongezeka kwenye baridi mpaka wanawake waringe?
Kumekuwa na tabia kipindi hiki cha mvua na baridi sisi wanaume kunyimwa unyumba tatizo ni nini jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mbaya sana hiii.... Ilinikutaga😭😭😭😭😭Akikunyima usipate tabu kamanda,usimuombe Tena,wewe acha Hela ya kula amka nenda kwenye harakati, ukirejea,hamna story,Toka Tena Rudi saa nne au tano oga kula, lala, amka nenda kibaruani,siku tatu tu, mkaushie, atakugaia na ataweka mguu mpaka dirishani🤣🤣🤣🤣
Wewe Itakuwa umevuliwa ubingwaHujielewi unanyimwaje
Umeoa au ni basic Babu?
Mnanyimana vitu utamu...