Kipindi cha mvua wanawake mtuonee huruma jamani

Nini kimeongezeka kwenye baridi mpaka wanawake waringe?

Kumekuwa na tabia kipindi hiki cha mvua na baridi sisi wanaume kunyimwa unyumba tatizo ni nini jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hujielewi unanyimwaje

Umeoa au ni basic Babu?
 
Mbaya sana hiii.... Ilinikutaga😭😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…