888I
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 472
- 581
Tumewasikiliza vijana wa Mirerani kuhusu huduma rafiki za afya ya uzazi, na tumepata maoni ya wanakijiji wa Naisinyai kuhusu ushiriki wa watu wenye ulemavu kwenye uongozi na mikutano ya maamuzi.
Kupitia kipindi cha #Nijuze, sauti zao zimepata nafasi ya kusikika na viongozi wametoa ahadi ya kushughulikia mahitaji yaliyotajwa.
Mimi na Dorcas Charles tumejifunza mengi, tumeona nguvu ya majadiliano ya wazi katika kujenga jamii jumuishi.
Endelea kufuatilia #Nijuze kila Alhamisi saa 12:00 jioni, marudio Jumamosi saa 4:30 asubuhi kupitia Orkonerei FM Radio.
#AfyaKwaWote #UongoziJumuishi #UsawaWaKijinsia #VijanaNaAfya #WatuWenyeUlemavu #SimanjiroVoices #OrkonereiFM #UtawalaBora #MaendeleoJumuishi #WananchiSautiYao #MabadilikoChanya