Kipindi Cha Nijuze Radio Show at Orkonerei Fm Radio

888I

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
472
Reaction score
581
Tumewasikiliza vijana wa Mirerani kuhusu huduma rafiki za afya ya uzazi, na tumepata maoni ya wanakijiji wa Naisinyai kuhusu ushiriki wa watu wenye ulemavu kwenye uongozi na mikutano ya maamuzi.
Kupitia kipindi cha #Nijuze, sauti zao zimepata nafasi ya kusikika na viongozi wametoa ahadi ya kushughulikia mahitaji yaliyotajwa.
Mimi na Dorcas Charles tumejifunza mengi, tumeona nguvu ya majadiliano ya wazi katika kujenga jamii jumuishi.
Endelea kufuatilia #Nijuze kila Alhamisi saa 12:00 jioni, marudio Jumamosi saa 4:30 asubuhi kupitia Orkonerei FM Radio.

#AfyaKwaWote #UongoziJumuishi #UsawaWaKijinsia #VijanaNaAfya #WatuWenyeUlemavu #SimanjiroVoices #OrkonereiFM #UtawalaBora #MaendeleoJumuishi #WananchiSautiYao #MabadilikoChanya
 
Attachments

  • IMG_20250329_104951 (1).jpg
    812.8 KB · Views: 29
  • IMG_20250329_113944.jpg
    721.5 KB · Views: 30
  • IMG_20250329_103602.jpg
    2.1 MB · Views: 32
Impactful.

Bila hata likes and Replies .

Tafadhali ninakuomba endelea kufanya kazi hii nzuri.

Kuiacha Dunia Sehemu salama zaidi ya Tulivyoirithi kwa wazazi wetu..wahenga wetu.
 
Kupitia kipindi cha #Nijuze, sauti zao zimepata nafasi ya kusikika na viongozi wametoa ahadi ya kushughulikia mahitaji yaliyotajwa.!

Ni maneno ya kisiasa zaidi hakuna kitakachofanyika
 
Haha kaka mk

Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…