Kipindi cha shilawadu kimepata umaarufu kwa kucover story za WCB

Every thing is fair in Love and War
 
umejuaje kama watasikiliza nyimbo zao tu kwani clouds wasanini wa nyimbo
 
Kubali ukatae habari za kimbeya nyingi zinatoka WCB so msifikirie anguko la WCB kumbuka hata wao clouds watasheki.
Ngoja tuone mwisho wake.

yani clouds washake kisa kipindi cha shilawadu kuacha kucover habari za WCB ?

ndugu yangu itakuwa hauna ule ubongo wa nyuma sijui wasomi huwa wanauitaje vile

enheee nimekumbuka medula....

kwa mawazo hayo itakuwa ww una ubongo wa kati na ule wa mbele tuuu
 
Wabongo bana hahahahhaa mzaramo tangu lini akawa mshauri? mzaramo wake mdundiko tu(utani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…