Kipindi hiki cha maombolezo sisi wapendwa tunafaidi sana nyimbo za injili maeneo ya starehe

Kipindi hiki cha maombolezo sisi wapendwa tunafaidi sana nyimbo za injili maeneo ya starehe

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,414
Reaction score
4,534
Yaani ni mwendo wa nyimbo za injili tuuu... upako kila sehemu. Bar zimegeuka platforms za nyimbo za injili ... safiii
 
ni vyema wakapiga na qaswida, ama zenyewe hazina maudhui ya kuomboleza???
 
ni vyema wakapiga na qaswida, ama zenyewe hazina maudhui ya kuomboleza???
Aliefariki hakuwa muislam mkuu, so unaona hata salamu yenu alivyokuwa anaitamka " ASALAMAREKU"

Kwa Maalimu Seif hukusikia walivyozipiga mkuu?
 
Jana napiga k vant yangu huku namsikliza kijana anaimba "maisha haya tunapita tu hali hii ya sasa ni kwa muda tuuuu.... Kwa mbaali kidogo ibilisi anasogeasogea kuangalia huyu wakala wangu vipi leo
 
Yaani ni mwendo wa nyimbo za injili tuuu... upako kila sehemu. Bar zimegeuka platforms za nyimbo za injili ... safiii
Maeneo ya starehe wewe mpendwa unafanya nini? Hizi sasa si ndiyo dalili za mwisho wa dunia hizi!!
 
Back
Top Bottom