Kipindi hiki cha samia pesa zipo nje , nje . Hakuna yale mambo ya vyuma vimekaza

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Pesa mtaani zipo bwelele , vijana wadogo kabisa wana miliki ndinga kali .

Yale mambo ya vyuma vimekaza kama kipindi cha magu siku hizi huwezi kuyasikia .Watu hawalalamiki pesa mtaani hakuna au maisha magumu kama ilivyo kuwa kwa magu.

Ukishindwa kujenga na kumiliki vitu vya thamani kipindi hiki basi itakuchukua muda mrefu sana kumiliki kama samia akimaliza wakati wake.
 
Still catch me in the jects "touchin" with 'em h0es ,In my projects ,Like Coo Coo Cal.
 
na kipindi hiki miradi mikubwa mikubwa ina endelea
1. SGR KWENDA MWANZA, INA JENGWA KWA KASI
2. DARAJA LA JANGWANI
3. BARABARA MBEYA IMEKAMILIKA, LIMEKUWA GREEN CITY
4. HUKU KWETU MANYONI, MAJUMBA YANA JENGWA
5. COASTER ZA MILION 300 NA USHEE
6. BOTI ZA MABILIONI ZINA NUNULIWA
7. INA TANGAZWA RASMI MAJESHI NI MALI YA CHAMA
8. AFCON IPO BONGO
 
Back
Top Bottom