uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Leo nimesikiliza kipindi maalum cha Ulelingombe Morogoro Nikaumia sana, na kuongeza chuki kwa CCM na tawala zote.
1. Wana hali ya hewa nzuri kwa Kilimo.
2. Maji kwa ajili ya umwagiliaji na kilimo.
3. Ardhi nzuri yenye rutuba sababu ya Kilimo.
Shida yao:
Hawana miundombinu Mbinu ya barabara, kwa hiyo hawawezi lima mboga mboga, nyanya na vitunguu maana punga hawawezi safirisha zitaharibika.
Wanalima mazao mengine, lakini hawana namna ya kusafirisha, kwa hiyo walanguzi wanakuja, na wanauza kwa bei ndogo sana.
Wakati huo huo, wabunge wao, wako huko wanapitisha sheria za wenza wa viongozi kulipwa kiinua mgongo, hii ni aibu kubwa.
Eti hata kusafirisha maiti ni ngumu, kwa hiyo hupiga mbiu watu wakusanyike kusogeza hiyo maiti, aibu aibu aibu aibu aibu aibu aibu aibu.
Ni wakati sasa kutoombea ccm mazuri, ni kumuomba Mungu aruhusu hukumu kwa ccm, ubaya wao umevuka viwango vyote vya utu.