Kipindi Mnyama akigawa dozi Shamba la Bibi.. Yanga waendelea kugeuzwa Punching Bag.

Mnyama kasara lazima wakae walichonga sana
 
Ndio tatizo tunalolifanyia kazi.. Baada ya mechi ya Azam na Mtibwa.. ndo uje na hii kauli yako.
Hahahaha basi hata Leo mngefunga magoli mengi. Ngoja tuone maana ligi bado sana hii
 
Mikia fc kwa mpira gan mlio cheza leo?
Almost the game was tough
Ila ukosaj wa magor kwa mavugo umedhihirisha kuwa simba inaugonjwa wa kulala
Hizi timu za majeshi sio za mchezo unavowaza wewe
 
Ki ukweli wachezaji Yanga wamechoka na wanahitaji mapumziko!

Wamechoka Kivipi?? inaonesha Kabla Ya Msimu Badala Ya Kujiandaa Kwa Mazoezi Walikuwa Wakijiandaa Kwa Kupiga Puchu Ndiyomaana Wakachoka!!
Simba Rarua Kila Atakayejitia Kiherehere! Tuwaache Wa Kimataifa Wa Dimbwi la Jangwani Wajinadi Kujenga Uwanja Hewa
 
Mkuu hilo jina kwa sasa limekatazwa... ni uwanja wa Uhuru tu
 
Hizi mbwembwe zako hazijaanza leo msimu wa 4 mfululizo unaanza kupiga kelele ligi ikichanganya unajipiga ban mwenyewe

Amini nakuambia Msimu huu ni kanyaga twende mpaka ligi inaisha .. Kipindi sisi tunadili na mambo tunayofanya uwanjani.. nyinyi endeleeni kukumbuka historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…