Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyama aunguruma leo Taifa, baada ya kuwapigisha kwata la kutosha 'wajeda' wa Ruvu Shooting. Leo tumetakata vya kutosha, nadhani Tanzania imeona, Dunia imeona. Simba SC imeshinda goli 2-1.
Wafungaji wa mechi ya leo ni Ajibu na 'homa ya jiji' Mavugo.
Huko Mtwara, Wazee Wa Kimataifa wameendelea kugeuzwa punching bag, baada ya kutoka suti na Ndanda.
Ikumbukwe ni hawa hawa Ndanda waligongwa 3-1 na Mnyama katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu Msimu huu wa 2016/2017.
Nadhani sasa mmeanza kuamini yale maneno ya kocha bora kabisa toka nchini Kameruni, kua kuna matatizo madogo madogo anayafanyia kazi, ndani ya mechi tatu au mbili.. Ole wake tutakayekutana nae baada ya hizo mechi.
Shikamoo Joseph Marius Omog.
Mikia fc kwa mpira gan mlio cheza leo?
Almost the game was tough
Ila ukosaj wa magor kwa mavugo umedhihirisha kuwa simba inaugonjwa wa kulala
Hahahaha basi hata Leo mngefunga magoli mengi. Ngoja tuone maana ligi bado sana hiiNdio tatizo tunalolifanyia kazi.. Baada ya mechi ya Azam na Mtibwa.. ndo uje na hii kauli yako.
Hizi timu za majeshi sio za mchezo unavowaza weweMikia fc kwa mpira gan mlio cheza leo?
Almost the game was tough
Ila ukosaj wa magor kwa mavugo umedhihirisha kuwa simba inaugonjwa wa kulala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] c bora wamtimueNasikia juzi ndo kafunga goli kwa Mara ya kwanza.. ila ilikua ni katika mazoezi
Ki ukweli wachezaji Yanga wamechoka na wanahitaji mapumziko!
Mnyama aunguruma leo Taifa, baada ya kuwapigisha kwata la kutosha 'wajeda' wa Ruvu Shooting. Leo tumetakata vya kutosha, nadhani Tanzania imeona, Dunia imeona. Simba SC imeshinda goli 2-1.
Wafungaji wa mechi ya leo ni Ajibu na 'homa ya jiji' Mavugo.
Huko Mtwara, Wazee Wa Kimataifa wameendelea kugeuzwa punching bag, baada ya kutoka suti na Ndanda.
Ikumbukwe ni hawa hawa Ndanda waligongwa 3-1 na Mnyama katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu Msimu huu wa 2016/2017.
Nadhani sasa mmeanza kuamini yale maneno ya kocha bora kabisa toka nchini Kameruni, kua kuna matatizo madogo madogo anayafanyia kazi, ndani ya mechi tatu au mbili.. Ole wake tutakayekutana nae baada ya hizo mechi.
Shikamoo Joseph Marius Omog.
Mikia fc kwa mpira gan mlio cheza leo?
Almost the game was tough
Ila ukosaj wa magor kwa mavugo umedhihirisha kuwa simba inaugonjwa wa kulala
Hizi mbwembwe zako hazijaanza leo msimu wa 4 mfululizo unaanza kupiga kelele ligi ikichanganya unajipiga ban mwenyewecc Belo Makoye Matale na ndugu zao.
Hizi mbwembwe zako hazijaanza leo msimu wa 4 mfululizo unaanza kupiga kelele ligi ikichanganya unajipiga ban mwenyewe