Kipindi mzee wangu Magufuli yupo walikuwa hawaongei ameondoka sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki

Kipindi mzee wangu Magufuli yupo walikuwa hawaongei ameondoka sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki

Ila Jiwe kwa nini hakusema mapema kuwa limoyo lake ni libovu
 
Hii ndio hangover ya dictatorship

Hitler mpaka leo kuna watu wanaweka sanamu yake na wanaipigia magoti kuisalia all across the world

Huyo ni Hitler

Magufuli mtamuabudu for the long long time mpaka nyie kizazi mlichofaidika na udhalimu wake muende kaburini watoto wenu ndio wabaki

Nyie hata mfanyweje,hamuwezi acha kumuabudi huyu dikteta just like Hitler worshippers today.

Yaani mtu uko hapa unawacheka wanao-exercise freedom and democracy?

Watu wanyamaze,wapigwe,waonewe alimradi wewe huguswi?

Siku unaguswa ndio unajua what we are talking about

The good thing,dikteta la dunia limekufa,vimebaki vifaranga vyake kama wewe
Ukiona jitu halimpendi Magu jua jizi tu.
 
Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.

Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.

Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aseee.

Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.
Wewe ni meneja wa masaburi tu Na utakuwa Na faili Mirembe bila shaka; sio Kwa akili hiyoo!
 
Back
Top Bottom