Kipindi mzee wangu Magufuli yupo walikuwa hawaongei ameondoka sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki

Ila Jiwe kwa nini hakusema mapema kuwa limoyo lake ni libovu
 
CCM ni watu wanafiki balaa!! Kwa mfano sasa hivi hutasikia tena neno mabeberu
Yule profesa wa jalalani ndiye alikuwa kinara wa kutamka mabeberu. Siku hizi kimyaaaa
 
Ukiona jitu halimpendi Magu jua jizi tu.
 
Wewe ni meneja wa masaburi tu Na utakuwa Na faili Mirembe bila shaka; sio Kwa akili hiyoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…