Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Nikubaliane kuwa mambo yanabadirika sana asee. Kipindi hicho nasoma na hata baada ya masomo mfumo wangu ulikuwa ule ule sabuni ya kuogea ndo hiyohiyo ilifanya kazi zote. Na wala si mimi tu karibia ndume zote mfumo ulikuwa huo huo kwa sasa sidhani kama haya yapo bado.
Hii hali bado imeniathiri sana sijawahi kwenda dukani kununua sabuni ya kuogea na hata home wife huwa namuona na sabuni aina na aina ana nunua zingine ukwaju,mara Tropicana papaya nk
Mimi nimebaki na mfumo wangu japo kwa sasa nateua kipande cha kuogea hadi kiishe huku kwenye mche huohuo kufulia na kuoshea vyombo kilichobadirika kipande kimoja kitakatwa kufulia kingine kuogea na kuoshea vyombo.
Sabuni ninayo tumia ni hizi za kigoma..huwa nikiogea zile zingine mwili wote unanukia halafu ya kike kike tu jambo ambalo hunikera na kuamua kubaki njia kuu.
Basi ikitokea nimekoswa kabisa huwa naogea Omo (sabuni yoyote ya unga) Nimekubali mazoea hujenga tabia.
Kwa leo nina hili asee