Kipindi tatanishi cha umeme ndio kinaanza rasmi, umejiandaaje?

Kipindi tatanishi cha umeme ndio kinaanza rasmi, umejiandaaje?

08-1700 nitachaji ofisini.. nikirudi home simu imejaa.. nawasha tochi, nalala.

Kuonyoosha nguo za week nzima nitauotea
Mawazo yangu kabisa... Tena nitakua nasogeza hadi 1800
 
Back
Top Bottom