sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
1. "Nitatenga bajeti ya Shilingi Bilioni 5 kwa mwaka kwa ajili ya kuendesha timu iwapo mfumo wa uwekezaji ndani ya klabu hiyo tutaukubali siku ya Jumapili." - Mo Dewji
2. "Nitakuwa tayari kuwasaidia katika usajili wa msimu huu endapo mtanipatia timu kwanza" - Mo Dewji
Kipindi tunaendelea kuzitafakari kwa kina kauli za "Mfanyabiashara" Mo Dewji alizozitoa asubuhi ya leo.. Mnyama kaendelea kutakata vilivyo Mjini Morogoro.. Na hii ni baada ya kuendelea kugawa dozi katika mechi zake za kirafiki.
Leo ilikua ni zamu ya Moro Kids, ambapo Mnyama kawatandika goli 2-0. Wafungaji ni Danny Lyanga na
Ibrahim Ajibu [ huyu jamaa inaonekana ile ugonjwa wake wa kutupia kambani umekua sugu].
Mpaka sasa.. Simba chini ya Omog.
1. Mechi Tulizocheza - 2
2. Magoli Tuliyofunga - 8
3. Magoli Tuliyofungwa - 0
4. Aina ya Soka - Soka la Kasi, Pasi Nyingi, Ufundi Mwingi n.k
... and the cycle continues.