lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Acha ushamba wewe uko duniani kwenye pre season ulishawaikuona timu gani kubwa zinashindani!?
Fuatilia mechi za pre season za Leicester City. Then utupe mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ushamba wewe uko duniani kwenye pre season ulishawaikuona timu gani kubwa zinashindani!?
Duh! hapa ulipoibukia !kwema lakini mtani?Mkuu ni jukumu langu kuwafahamisha wanachama wa Simba S.C kila linalojiri kuhusu timu yao.. Hivyo hata hii taarifa nimeona ni haki yao pia kuipata.
Haya matokeo hiwa sipendi sana yatiliwe maanani. Hawa madogo wanacheza Ligi ya Mkoa pale Moro!KIDS wanacheza ligi gani hao watoto.. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa mbona ligi ikianza unakimbia humu?Mkuu ni jukumu langu kuwafahamisha wanachama wa Simba S.C kila linalojiri kuhusu timu yao.. Hivyo hata hii taarifa nimeona ni haki yao pia kuipata.
Sasa kwani Leicester city ni timu kubwa!?obviously itakua ni timu kubwa imecheza na Leicester city.
Fuatilia mechi za pre season za Leicester City. Then utupe mrejesho
Man city vs bayern munichLiverpool fc vs Chelsea,man utd vs Dortmund in this pre season
Ligi ya GhanaKIDS wanacheza ligi gani hao watoto.. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamani Simba ni ya Kucheza na Moro kids then ikishinda watu wajisifu! This is too low to you mkuu Sembo!1. "Nitatenga bajeti ya Shilingi Bilioni 5 kwa mwaka kwa ajili ya kuendesha timu iwapo mfumo wa uwekezaji ndani ya klabu hiyo tutaukubali siku ya Jumapili." - Mo Dewji
2. "Nitakuwa tayari kuwasaidia katika usajili wa msimu huu endapo mtanipatia timu kwanza" - Mo Dewji
Kipindi tunaendelea kuzitafakari kwa kina kauli za "Mfanyabiashara" Mo Dewji alizozitoa asubuhi ya leo.. Mnyama kaendelea kutakata vilivyo Mjini Morogoro.. Na hii ni baada ya kuendelea kugawa dozi katika mechi zake za kirafiki.
Leo ilikua ni zamu ya Moro Kids, ambapo Mnyama kawatandika goli 2-0. Wafungaji ni Danny Lyanga na
Ibrahim Ajibu [ huyu jamaa inaonekana ile ugonjwa wake wa kutupia kambani umekua sugu].
Mpaka sasa.. Simba chini ya Omog.
1. Mechi Tulizocheza - 2
2. Magoli Tuliyofunga - 8
3. Magoli Tuliyofungwa - 0
4. Aina ya Soka - Soka la Kasi, Pasi Nyingi, Ufundi Mwingi n.k
... and the cycle continues.