Kipindi tukimtafakari Mo.. Mnyama azidi kutakata vilivyo Morogoro.

Kipindi tukimtafakari Mo.. Mnyama azidi kutakata vilivyo Morogoro.

Ratiba ya Pre season games kwa timu za Liverpool na Chelsea katka msimu huu.

LIVERPOOL.
July 8.. Tranmere Rovers v Liverpool
July 13.. Fleetwood Town v Liverpool
July 17.. Wigan Athletic v Liverpool
July 20.. Huddersfield Town v Liverpool
July 27.. Liverpool v Chelsea
July 30.. Liverpool v AC Milan
August 6.. Liverpool v FC Barcelona

CHELSEA.
Chelsea v Rapid Vienna... 16 July
Chelsea v WAC RZ Pellets... 20 July
Chelsea v Liverpool... 27 July
Chelsea v Real Madrid... 30 July
Chelsea v AC Milan... 3 August
Chelsea v Werder Breman... 7 August

Nakala: juan de otaru Nanoli lil wayne muxar
 
J
1. "Nitatenga bajeti ya Shilingi Bilioni 5 kwa mwaka kwa ajili ya kuendesha timu iwapo mfumo wa uwekezaji ndani ya klabu hiyo tutaukubali siku ya Jumapili." - Mo Dewji

2. "Nitakuwa tayari kuwasaidia katika usajili wa msimu huu endapo mtanipatia timu kwanza" - Mo Dewji

Kipindi tunaendelea kuzitafakari kwa kina kauli za "Mfanyabiashara" Mo Dewji alizozitoa asubuhi ya leo.. Mnyama kaendelea kutakata vilivyo Mjini Morogoro.. Na hii ni baada ya kuendelea kugawa dozi katika mechi zake za kirafiki.

Leo ilikua ni zamu ya Moro Kids, ambapo Mnyama kawatandika goli 2-0. Wafungaji ni Danny Lyanga na
Ibrahim Ajibu [ huyu jamaa inaonekana ile ugonjwa wake wa kutupia kambani umekua sugu].

Mpaka sasa.. Simba chini ya Omog.

1. Mechi Tulizocheza - 2
2. Magoli Tuliyofunga - 8
3. Magoli Tuliyofungwa - 0
4. Aina ya Soka - Soka la Kasi, Pasi Nyingi, Ufundi Mwingi n.k

... and the cycle continues.
Jamani Simba ni ya Kucheza na Moro kids then ikishinda watu wajisifu! This is too low to you mkuu Sembo!
 
Du Moro "kidis" 2-0[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom