Kipindi tukimtafakari Mo.. Mnyama azidi kutakata vilivyo Morogoro.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
1. "Nitatenga bajeti ya Shilingi Bilioni 5 kwa mwaka kwa ajili ya kuendesha timu iwapo mfumo wa uwekezaji ndani ya klabu hiyo tutaukubali siku ya Jumapili." - Mo Dewji

2. "Nitakuwa tayari kuwasaidia katika usajili wa msimu huu endapo mtanipatia timu kwanza" - Mo Dewji

Kipindi tunaendelea kuzitafakari kwa kina kauli za "Mfanyabiashara" Mo Dewji alizozitoa asubuhi ya leo.. Mnyama kaendelea kutakata vilivyo Mjini Morogoro.. Na hii ni baada ya kuendelea kugawa dozi katika mechi zake za kirafiki.

Leo ilikua ni zamu ya Moro Kids, ambapo Mnyama kawatandika goli 2-0. Wafungaji ni Danny Lyanga na
Ibrahim Ajibu [ huyu jamaa inaonekana ile ugonjwa wake wa kutupia kambani umekua sugu].

Mpaka sasa.. Simba chini ya Omog.

1. Mechi Tulizocheza - 2
2. Magoli Tuliyofunga - 8
3. Magoli Tuliyofungwa - 0
4. Aina ya Soka - Soka la Kasi, Pasi Nyingi, Ufundi Mwingi n.k

... and the cycle continues.
 
Hivi mkuu hata aibu huoni? Mechi za Pre season mnacheza na timu za watoto badala ya timu kama APR au ZANACo?

Ninachowashangaa wahindi wafanyakazi waaowatajirisha wanawadhurumu halafu kwenye mpira wanajifanya wana mapenzi!?

Kikubwa anataka kuitumia Simba kutangaza bidhaa zake kama Bakhresa na Azzam yake.
 
Utakuwa shabiki wa ndala wewe si bure
 
Utakuwa shabiki wa ndala wewe si bure
Kwani Yanga na Simba zinatofauti gani? Na kule si kuna tapeli mwingine anaitwa Manji? Huoni jezi za Yanga zina lebo ya Quality group?

Hapo ndipo ilipo akili Mo, jiulize ni kwa nini ameshindwa kuendesha timu yake mwenyewe? Mimi mpaka sasa mtu mkweli namuona ni Bakhresa tu.
 
Hivi mkuu hata aibu huoni? Mechi za Pre season mnacheza na timu za watoto badala ya timu kama APR au ZANACo?

Ninachowashangaa wahindi wafanyakazi waaowatajirisha wanawadhurumu halafu kwenye mpira wanajifanya wana mapenzi!?

Kikubwa anataka kuitumia Simba kutangaza bidhaa zake kama Bakhresa na Azzam yake.
Mkuu.. Mechi za Pre Season ni vyema kuanzia na vitimu vidogo na kumaliza na heavyweight kama APR na Zanaco. Ndo mana hata ukifatilia timu kubwa za Ulaya zimejichimbia China, Marekani, Malaysia n.k..

Ndo mana hata sisi tunaanza na hivi vitimu vidogo vidogo, then siku ya Simba Day tutapambana na heavyweight mwenzetu toka Angola.

Watalamu wa Mambo wanadai, hizi mechi humsaidia kocha kuona Je mbinu zake zinaeleweka kwa vijana, formation alizotengeneza zimetiki.. n.k
 
Mechi za mchangani ndo unazotuletea hapa kaka, mbona unaturudisha utotoni.. MORO KIDS... si mbaya lakini kwakua ndo level zenu.... HONGERENI SANA.. j2 mnacheza na Chai njugu ya kitaa cha kati.
 
Hivi mkuu hata aibu huoni? Mechi za Pre season mnacheza na timu za watoto badala ya timu kama APR au ZANACo?

Ninachowashangaa wahindi wafanyakazi waaowatajirisha wanawadhurumu halafu kwenye mpira wanajifanya wana mapenzi!?

Kikubwa anataka kuitumia Simba kutangaza bidhaa zake kama Bakhresa na Azzam yake.
we unajua kocha anacholenga hasa ni kipi hadi acheze na watoto???? Hivi unajua tim kubwa za ulaya ktk pre season kabla hazijaenda america na asia kibiashara unajua zinapambana na timu za kariba ipi???? Je na brazil kucheza na Tanzania wiki 2 kabla ya worldcup utasemaje nalo...
 
Moro kids ndiyo inakufanya useme Simba ina mpira wa kasi?

Dobi hapimwi ubora kwa kumpa afue nguo nyeusi.

Wafuateni Libolo au Mafarao ndo mtathini ugonjwa wa Ajibu kama ni sugu au Mr 2.

Anachofanya Mo ni kushinikiza na kuchochea ili matakwa yake ya kibiashara yatekelezwe kupitia brand ya Simba na jinsi mashabiki walivyo desperate,mgogoro unanukia kati ya wanachama na uongozi.
 
Mechi za mchangani ndo unazotuletea hapa kaka, mbona unaturudisha utotoni.. MORO KIDS... si mbaya lakini kwakua ndo level zenu.... HONGERENI SANA.. j2 mnacheza na Chai njugu ya kitaa cha kati.
Mkuu ni jukumu langu kuwafahamisha wanachama wa Simba S.C kila linalojiri kuhusu timu yao.. Hivyo hata hii taarifa nimeona ni haki yao pia kuipata.
 
Mechi za mchangani ndo unazotuletea hapa kaka, mbona unaturudisha utotoni.. MORO KIDS... si mbaya lakini kwakua ndo level zenu.... HONGERENI SANA.. j2 mnacheza na Chai njugu ya kitaa cha kati.
Bora kumbe angetuletea matokeo ya mechi ya YANGA huko ghana...asituletee mechi za simba hapa
 
Hivi mkuu hata aibu huoni? Mechi za Pre season mnacheza na timu za watoto badala ya timu kama APR au ZANACo?

Ninachowashangaa wahindi wafanyakazi waaowatajirisha wanawadhurumu halafu kwenye mpira wanajifanya wana mapenzi!?

Kikubwa anataka kuitumia Simba kutangaza bidhaa zake kama Bakhresa na Azzam yake.
Acha ushamba wewe uko duniani kwenye pre season ulishawaikuona timu gani kubwa zinashindani!?
 
Moro kids ndiyo inakufanya useme Simba ina mpira wa kasi?

Dobi hapimwi ubora kwa kumpa afue nguo nyeusi.

Wafuateni Libolo au Mafarao ndo mtathini ugonjwa wa Ajibu kama ni sugu au Mr 2.

Anachofanya Mo ni kushinikiza na kuchochea ili matakwa yake ya kibiashara yatekelezwe kupitia brand ya Simba na jinsi mashabiki walivyo desperate,mgogoro unanukia kati ya wanachama na uongozi.
Mkuu kuhusu aina ya soka.. Tarehe 8.8. 2016 si mbali, tukutane Taifa Stadium ili tuweze kushudia je pasi zinazopigwa ni rula au? je soka linatandazwa kwa super sonic speed au kobe speed? ugonjwa wa ajib umepata dawa, au umezidi kua sugu?
 
Hivi mkuu hata aibu huoni? Mechi za Pre season mnacheza na timu za watoto badala ya timu kama APR au ZANACo?

Ninachowashangaa wahindi wafanyakazi waaowatajirisha wanawadhurumu halafu kwenye mpira wanajifanya wana mapenzi!?

Kikubwa anataka kuitumia Simba kutangaza bidhaa zake kama Bakhresa na Azzam yake.

Kwani manji hatangazi zake huko Yanga?
 
Moro kids ndiyo inakufanya useme Simba ina mpira wa kasi?

Dobi hapimwi ubora kwa kumpa afue nguo nyeusi.

Wafuateni Libolo au Mafarao ndo mtathini ugonjwa wa Ajibu kama ni sugu au Mr 2.
Kama matakwa ya manji yalivyotimia maana last time niliona wachezaji wa yanga wametinga jezi zenye chats la amerikani supermarket.

Anachofanya Mo ni kushinikiza na kuchochea ili matakwa yake ya kibiashara yatekelezwe kupitia brand ya Simba na jinsi mashabiki walivyo desperate,mgogoro unanukia kati ya wanachama na uongozi.
 
Bora kumbe angetuletea matokeo ya mechi ya YANGA huko ghana...asituletee mechi za simba hapa
KIDS wanacheza ligi gani hao watoto.. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwani Yanga na Simba zinatofauti gani? Na kule si kuna tapeli mwingine anaitwa Manji? Huoni jezi za Yanga zina lebo ya Quality group?

Hapo ndipo ilipo akili Mo, jiulize ni kwa nini ameshindwa kuendesha timu yake mwenyewe? Mimi mpaka sasa mtu mkweli namuona ni Bakhresa tu.
Umefanya niwaze sana!....
 
Back
Top Bottom