ayubu ebenezer
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 350
- 208
Wanampinga wote wanajua atawabania akijaPoleni sana maana tonge lenu lipo hatarini kupokonywa ( watu wa getini,wauza jezi/bidhaa zisizoziingizia klabu mapato,na wacheza dili za ndani ya klabu) kwa sababu mwekezaji humu pote atapazibiti.